Majibu yaanza kutumbuliwa! Kigogo mmoja mbaroni kwa kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya..

Vita dhidi ya Madawa ya Kulevya: Mshukiwa wa siku nyingi, Hussein Mafisi akamatwa jijini Dar.

-Alikuwa akiuza madawa hayo eneo la Mwenge Dar, akamatwa akiwa na kundi la mateja akiwauziaSiku kadhaa nyuma niliweka Uzi unaosema Hussein Mafisi analindwa na nani?
Kwenye Uzi huo nililalamika ni nani anayemlinda Hussein Mafisi muuza madawa maarufu Mwenge. Leo muda wa saa 9 na dakika 45 amekamatwa. Gari tatu za Polisi zilifika Dukani kwake na kubeba mateja wote waliokuwepo na Hussein wenyewe..

Hii ni mara ya kwanza kukamatwa, daima hukamatwa mateja na yeye huachwa, lakini Leo kakamatwa. Nitasikitika Sana kama nitamkuta tena jioni akiendelea na biashara yake.   

Chanzo: JF

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top