Kauli ya Mwigulu Nchemba Baada ya CCM kushinda kiti cha Ubunge Kalenga


Asanteni sana Wanakalenga,Nmetuma Salamu kwa Watanzania Wote Kuwa Chama Chenye hadhi ya Kuendelea Kuwaongoza Wanakalenga na Nchi Nzima ni CCM.
Mmefanya Maamuzi Sahihi na yenye tija kwa Jimbo la Kalenga na Taifa kwa Ujumla.Tuendelee Kushirikiana Kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi -Kalenga na Tanzania Nzima.
Lengo halikuwa Kushinda tu,Tulidhamiria na tumeweza Kushinda kwa Kishindo.

UMOJA NI USHINDI,KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top