MANCHESTER City imerudi nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya England kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Hull City jana jioni.
Timu ya Manuel Pellegrini leo ilipania kubeba pointi tatu katika Ligi Kuu, Kufuatia kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na Barcelona, Wafungaji wa mabao ya City jana jioni ni David Silva dakika ya 14 na Edin Dzeko dakika ya 90.
Timu ya Manuel Pellegrini leo ilipania kubeba pointi tatu katika Ligi Kuu, Kufuatia kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya na Barcelona, Wafungaji wa mabao ya City jana jioni ni David Silva dakika ya 14 na Edin Dzeko dakika ya 90.
Na kwa ushindi huo,City inatimiza pointi 60 baada ya kucheza mechi 27 na kurejea nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea yenye pointi 66 baada ya mechi 29.
David Silva's akionyesha juhudi zake za kutafutia City ushindi.
City ilimaliza pungufu baada ya Nahodha wake, Vincent Kompany kutolewa nje kwa nyekundu dakika ya 10, baada ya kumchezea rafu mshambuliaji wa Hull City, Nikica Jelavic.
Hull City: McGregor 6.5; Rosenior 6 (Fryatt 80), Chester 6, Davies 5.5, Figueroa 5.5 (Aloku 46, 6); Elmohamady 6.5, Huddlestone 6, Meyler 6 (Boyd 58, 6.5); Long 6.5, Jelavic 5.5.
Man City: Hart 7; Zabaleta 6.5, Kompany 4, Demichelis 7, Clichy 6; Fernandinho 6, Garcia 6.5; Nasri 6 (Navas 81), Toure 5.5 (Lescott 71, 6), Silva 8 (Kolarov 90); Dzeko 6.5.
MECHI NYINGINE ZILIZOCHEZWA JANA NI:-
Hull City 0 - 2 Manchester City
Everton 2 - 1 Cardiff City
Fulham 1 - 0 Newcastle United
Southampton 4 - 2 Norwich City
Stoke City 3 - 1 West Ham United
Sunderland 0 - 0 Crystal Palace
Swansea City 1 - 2 West Bromwich Albion
Aston Villa 1 - 0 Chelsea
Fulham 1 - 0 Newcastle United
Southampton 4 - 2 Norwich City
Stoke City 3 - 1 West Ham United
Sunderland 0 - 0 Crystal Palace
Swansea City 1 - 2 West Bromwich Albion
Aston Villa 1 - 0 Chelsea
TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
Post a Comment