PICHA ZAIDI ZA BASI LA JAPANESE EXPRESS LILILOPATA AJALI WILAYANI MAKETE

www.paparaziwetu.blogspot.com
Basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe likiwa limetumbukia mtoni mpakani mwa kata ya Lupalilo na tandala  mkoani Njombe.
Angalia picha zaidi za basi hilo baada ya kupata Ajali hiyo.
www.paparaziwetu.blogspot.com

www.paparaziwetu.blogspot.com
www.paparaziwetu.blogspot.com
www.paparaziwetu.blogspot.com
www.paparaziwetu.blogspot.com
www.paparaziwetu.blogspot.com
Katika ajali hii, abiria walioumia na kujeruhiwa wamepata huduma ya kwanza katika hospitali ya Ikonda, hakuna abiria aliyefariki na kwa mujibu wa abiria waliokuwemo kwenye basi hilo wamesema chanzo cha ajali hiyo ni basi hilo kukutana na gari jingine kwenye daraja hili jembamba hivyo katika harakati za kumpisha mwenzake ili wasigongane uso kwa uso, ndipo basi hili lilipopoteza uelekeo na kutumbukia mtoni.

TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top