Samuel Sitta Ashinda Nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kwa Kura 487 dhidi ya Kura 69 za Mhe. Hashim Rungwe.




Wajumbe wakipiga kura
Aliekuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Samuel Sitta akishukuru kwa furaha muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kura 469 dhidi ya mpinzani wake,Mh. Hashim Rungwe. Akitoa Neno la Shukrani mara baada ya kupata nafasi hiyo,Mh. Sitta amewashurukuru Wajumbe wote wa Bunge la Katiba kwa kuweza kumpa nafasi hiyo adhimu.Pia amempongeza mpinzani wake, Mh. Hashim Rungwe kwa kukubali matokeo hayo.



  Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakimpongeza Mhe. Sitta kwa ushindi wake wa kishindo
Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalum la Katiba mteule Mhe Samwel John Sitta akitoa neno la shukurani kwa Wajumbe kwa imani waliyoonesha kwake kwa kumchagua kwa kura nyingi kushika nafasi hiyo.

Katibu wa Bunge Thomas Kashilila akiongea na waandishi wa habari kuhusu kukamilika kwa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Bunge Maalum wa Katiba Ofisi Kwake Mjini Dodoma 


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!! 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top