Tukio la kusikitisha na la kinyama limetokea huko mjini Floplandia baada ya mahakama kumwachia huru mtuhumiwa wa ubakakaji kutoka gerezani akiwa na hatia dhidi ya kesi hiyo iliyokuwa inamkabili.
Kijana huyo ambaye jina lake limeifadhiwa alikutwa na mkasa huo ambao ulipelekea kupoteza maisha baada ya kutoka mahakamani kueleka nyumbani kwake, ndipo alipo vamiwa na wananchi wenye hasira kali wakiwa na silaha kali kama visu, mapanga na mawe na kuanza kupiga kwa kudai kuwa mbakaji hana ruhusa ya kuachiwa huru.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hili walidai kuwa kuachiwa huru kwa mtuhumiwa huyu inawezekana ni kwasababu ya kutoa rushwa ndiko kulikopeleka sheria kupindishwa na yeye kuwa huru wakati alikuwa na hatia hiyo ya Ubakaji.
Angalia picha zaidi za tukio hili.
Kidole cha mbakaji huyo kikiwa pembeni ya mwili wake.
Sehemu ya uso wake iliyo haribiwa vibaya na kitu chenye ncha kali.
kidole cha mbakaji huyo kikionyesha kitufulani ambacho akikuweza kutambulika baada ya kufa.
sehemu nyingine za mwili wake ambazo zilikatwa na wananchi hao wenye hasira kali juu ya kukio la kuachiwa huru mtuhumiwa wa ubakaji.
TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
Post a Comment