AJALI MBAYA YA GARI MAENEO YA MAKONGO ASUBUHI YA LEO .....

Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uokoaji za askari we jeshi la wananchi wakisaidiana na kikosi cha zimamoto na uokoaji walifanikiwa kumtoa dereva wa gari dogo mida ya saa 1:20 za asubuhi baada ya kukaa humo tangu saa 11 asubuhi. Gari aina ya Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu barabarani likijaribu kutoa msaada. 

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Askari wa jeshi la wananchi wakijitahidi kutoa msaada wa kumnasua dereva aliyefukiwa ndani ya gari.

Gari ambalo limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali. Dereva wa gari dogo bado yumo ndani.

Gari la mchanga lililopata ajali likionekana kwa mbali

Baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia tukio hilo

Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa

Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa
kumuokoa

Gari la wagonjwa nalo lilikuja kwa ajili ya kutoa msaada

Gari lililopinduka na kulalia gari dogo

Gari lililopinduka na kulalia gari dogo

Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki
Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top