Ajali ya gari Mafiati -Mbeya.......Angalia picha za tukio hilo..

Wakazi wa eneo la Mafiati Mkoani Mbeya wakishuhudia ajali iliyotokea baada magari madogo mawili moja likiwa ni Mazda yenye namba za usajili T935 BJP na gari nyingine Toyota Gaia ambayo namba zake hazikupatikana kwa haraka


Gari yenye namba za usajili T 935 BJP ikiwa imeharibika vibaya mara baada ya kugongana na gari nyingine ndogo aina ya Toyota Gaia katika eneo la Mafiati Mkoani Mbeya. Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.


Wakazi wa Mafiati Mbeya wakilitazama gari aina ya Mazda yenye namba za usajili T935 BJP jinsi ilivyoharibika mara baada ya kupata ajali kwa kugongana na gari ndogo aina ya Toyota Gaia katika Eneo la Mafiati Mkoani Mbeya, Nyuma ni gari aina ya Toyota gaia iliyogongana na Gari hiyo aina ya Mazda.


 Wakazi wa Mafiati wakilitazama Gari aina ya Toyota Gaia ambazo namba zake hazikuweza kupatika kwa haraka mara baada ya kugongana na gari aina ya Mazda katika Eneo la Mafiati Mkoani Mbeya.
Gari aina ya Toyota Gaia ikiwa imeharibika pembeni.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top