Hii kali.. Mke wa mchungaji avaa mavazi ya aibu...Angalia picha zake hapa

Meagan Good, kwa wanaopenda kucheki movie za kimarekani sina shaka wanamfahamu vyema mdada huyu anayesemekana ni mrembo kuliko wadada wote wenye asili ya kiafrika waigizaji huko mbele... 
 Ila kama ulikua hujui kilicho nyuma ya pazia kuhusu Meagan ni kuwa ameolewa na Devon Franklin ambae ni mchungaji huko Marekani......Kuna upako kweli hapa kweli...Jionee mwenyewe baadhi picha zake hapa chini..

BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA HIZO.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top