Jokate Mwengelo akanusha madai ya kupiga picha za utupu na kuweka mtandaoni....

Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake.
 Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtu  mwingine na kudai ni yeye.
 “Mitandao ya kijamii inakera sana. Kila mtu anaandika habari itakayowafanya watu wafungue ‘blogi’ yake, siwezi kupiga picha ya utupu,” alisema Jokate.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top