
Baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa 16 walisomewa mashitaka.

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiimarisha ulinzi.

Watuhumiwa wakiingia ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.


Post a Comment