Afariki papo hapo baada ya kugongwa na Coaster mkoani Morogoro

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Mgogo, ambaye ni dereva  wa bodaboda amegongwa gari na kufariki papo hapo, jioni hii mkoani Morogoro.Gari iliyomgonga dereva huyo ni aina ya Coaster  inayofanya safari ya Kihonda Mjini mkoani humo.

Askari wa usalama barabarani wakipima eneo la ajali.
 Mwili wa marehemu ukiwa umewekwa ndani ya gari.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top