Hivi ndivyo Luis Figo alivyopokelewa na Maulid Kitenge wa EFM radio

Mtangazaji wa michezo wa EFM 93.7 Maulid Kitenge akiwa na Gwiji wa zamani wa Real Madrid Luis Figo alipowasili usiku huu jijini Dar es salaam na wachezaji wenzie nyota wa zamani wa timu hiyo ya Hispania ambayo Jumamosi itakipiga na wachezaji nyota wa Tanzania kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uwanja wa Taifa 

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top