Unyama..Kisa wivu wa mapenzi

Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa pande za Nigeria, ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka 2010.
Swali je miaka kumi na kumualibu mwenzio vinaendana?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top