Man City,Chelsea watoka sare,Matokeo mengine ya mechi za jana haya hapa

KATIKA  michezo ya ligi kuu England iliyoendelea jana, Chelsea walikutana na Man City na kulazimishwa sare ya bao 2-2. Mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Etihad umeisha kwa matokeo ya sare 1-1.
Dakika chache baada ya Pablo Zabaleta kutolewa kwa kadi nyekundu Chelsea walipata goli la kwanza kupitia mchezaji aliyetokea benchi Andry Schurrle.

Akitokea benchi mchezaji wa zamani wa Chelsea Frank Lampard aliunganisha krosi ya James Milner na kuisawazishia Man City.Mpaka mpira unamalizika Man City 1-1 Chelsea. 

Matokeo mengine ya mechi za ligi kuu England zilizocheza jana
 

             Leicester City           5 - 3     Manchester United
               Tottenham Hotspur    0 - 1 West Bromwich Albion
                  Everton      2 - 3     Crystal Pala 
Manchester City  1 - 1 Chelsea

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top