Angalia video ya mama mchawi alidondoka akiwa katika safiri yake

Hivi karibuni tuliweka  hewani tukio  zima  la  mama  mchawi  wa  kinigeria  aliyekuwa  amedondoka  chini  huku  akiwa  uchi  na  mwili  ukiwa  na  vidonda  sehemu  zote...
 
Mama  huyo  alidondoka  dakika  chache  baada  ya  kujigeuza  ndege  na  kupaa  hewani  akienda  kuua  mtoto  mchanga  wa  binti  yake  wa  kumzaa.
Inadaiwa  kuwa. binti  huyo  amekuwa  akizaa  watoto  na  kufariki  dakika  chache  baada  ya  kuzaliwa. Kumbe  mbaya  wake  alikuwa  ni  mama  yake  mzazi  ambaye  alikuwa  akivifuata   vitoto  hivyo  na  kisha  kuviua.

Imearifiwa  kuwa  dada  wa  watu  kazunguka  kwa  waganga  mbalimbali  kutafuta  tiba  bila  mafanikio, na  ndipo  alipoamua  kumrudia  mwenyezi  mungu  kwa  kumpigia  magoti, kumlilia  na  kumweleza  shida  zake  kwa  njia  ya  maombi, kitu  ambacho  Mungu  baba  wa  mbinguni  amekijibu  na  kumdondosha  mama  huyo  baada  ya  nguvu  ya  maombi  kumzidi.

Hapo  chini  nimekuwekea  video  nzima  toka  Nigeria  ikionesha  tukio  zima  la  mama  huyo  na  jinsi  polisi  walivyokuwa  wakihangaika  kumnusuru  asichomwe  moto.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top