angalia video ya kijana muamiaji haramu alivyokamatwa


polisi mpakani Hispania wamemkamata kijana mmoja mwenye umri wa miaka 19 akiwa amejifungia katika sanguku kwa lengo la kuvuka mpakani hapo kutoka Mali.
Baada ya kuhisi kutakuwa na mzigo usiyo halali polisi waliamua kuchua sanduku hilo kwa lengo la kulikagua na hichi ndicho kilicho patikana.


kijana huyo akiwa ndani ya sanduku


walipo fungua sanduku hilo kujua nini kipondani walimkuta jijana huyu 
  


ANGALIA VIDEO HII 


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top