Maskini: Kijana ajinyonga baada ya kupata majibu kuwa anamaambukizi ya virusi vya ukimwi

Ndugu Issa   Ramadhani  (36)  mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu la kujinyonga  chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa  kwenda kupima na kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani  alimtuma mkewe kwenda kwa wazazi wake  huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha ujumbe wa maneno kuwa  NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi  ikiwa kitandani. 
Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.
Mwili wakiutoa nyumbani baadhi ya majirani na kuupeleka kwenye gari la polisi tayari kuusindikiza mpaka mochwari kuhifadhiwa huku wakisubiriwa ndugu na jamaa kufanya taratibu za mazishi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top