Prof. Muhongo awaita waandishi wa Habari, Tumbo joto kwa baadhi ya viongozi kwa hofu ya....

LEO NI LEO. Jumamosi  ya tarehe 24 Januari; saa 5 ofisini kwake kwa prof. Muhongo kitaeleweka. Madau mkuu wa Escrow Prof Muhongo amewaita waandishi wa habari ili kutoa yaliyoko mayoni mwake, haijulikani anataka kusema nini na kuchukua hatua gani, kwahiyo mimi na wewe hatuna lakusema kuhusu ili ila tu kusubiri muda ilitupate kujua zaidi nini kitaendelea, Lakini kwatetesi tu inasemekana kuna viongozi viti havikaliki kwa kuwa na wasiwasi asijeakalipua bomu ambalo halijulikani.
Bunge linatarajia kuanza week ijayo na kuna wabunge wameapa kuwa Muhongo na Chenge wakiingia bungeni siku hiyo hapata kalika.

Je mdau wetu unaonaje kuhusu swala hili .... Bofya hapo chini na tuachie maoni yako!!!!!!!!!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top