Nyota ya kijani yaniharibia ndoa, Sina Hamu na Tendo la Ndoa Tena..Naombeni Ushauri



Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote nikiwa uwanjani kwa fundi selemara!

Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top