Aunty Lulu..Makalio yangu yananitesa sana..Vijana wananisumbua kutaka kamchezo na mimi...

MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.

Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa  najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata  mara moja,” alisema Aunty Lulu

~Global Publishers

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top