Wanaume wakibongo kuweni makini mnapokuwa na wapenzi wenu kitandani...Epuka udhaifu huu kulinda penzi lako

Hapa chini ni baadhi tu ya udhaifu wa wanaume wa kibongowawapo kitandani.

1. Kudandia haraka haraka bila kumuandaa mwanamke

2. Hakuna lugha ya mwili kutwanga na kumaliza kisha kugeukia ututani nakukoroka.

3. Harufu mbaya ya kwapa au kinywa, yaweza kuwa ya pombe, sigara au kinywakichafu.

4. Kumlazimisha mwanamke kulamba koni bila ridhaa yake

5. Kujisafisha na shuka baada ya kumaliza

6. Kutupa kondom kwenye sakafu baada ya kumaliza

7. Kupiga makelele na kuuliza maswali mengi yasiyo na maana

8. Kutohakikisha kama mpenzi wake amefika kileleni au ameridhika.

9. Kuomba tendo kama vile anaomba kibarua cha kulima hakuna lugha ya kubembeleza

10. Kutosema ahsante baada ya tendo, anamalizana kukimbilia kuvaa

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top