Diamond na Davido Ngoma Droo Tuzo za MTV Awards....

Wanamuziki Diamond Platnumz na Davido Wameibuka Videdea Baada ya Wote Kushinda Tuzo Moja Moja Katika Categories Tofauti ....
Mashabiki wengi Africa Macho yalikuwa kwa hawa watu wawili kuona yupi atachukua tuzo nyingi zaidi..lakini wote wamepata tuzo moja moja ...
Diamond Amepata ya Mtumbuizaji Bora Africa Wakati Davido Amepata ya Mwimbaji Bora wa Kiume Africa...


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top