Inasikitisha! Mama afungwa kifungo cha maisha baada ya kuwaua wanae 2 na kuwaweka kwenye freezer



Mama amefungwa maisha Marekani kwasababu ya kuua watoto wake wawili na kuwaweka kwenye freezer kwa miaka kadhaa.

Kisa cha kuwaua watoto wake ni kwamba watoto hao ambao ni wakubwa walikuwa wakiwabaka na kuwalawiti wadogo zao wawili. Kwa hasira akawaua na kuwaficha humo kwenye freezer. .

Ni mambo ya aibu sana hata kuyazungumzia tunaishi kwenye dunia iliyochanganyikiwa sasa hivi...mama kuua watoto wake...watoto kuwabaka wadogo zao.... .

Hivi karibuni huyo mama aliulizwa je watoto wangekuwa hai leo je angefanya kitendo kama alichofanya? Akasema ndiyo bado angewaua... Inasikitisha!!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top