Kenya yaingia katika simanzi zito baada ya kumpoteza msanii maarufu Mzee Ojwang



Mwigizaji maarufu kutoka nchini Kenya  Mzee Ojwang amefaiki dunia jana jumapili jioni katika hospitali ya  Kenyatta jijini Nairobi alikokuwa amelazwa, Mwigizaji  Benson Wanjau, Mzee Ojwang. Mzee Ojwang alikuwa amelazwa hospitalini hapo akisumbuliwa na  ugonjwa wa Pneumonia. Mzee Ojwang alikuwa mwigizaji wa vipindi maarufu vya  Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na Kinyonga katika vituo vya luninga za Kenya na ITV Tanzania.

Mzee Ojwang alijipatia umaarufu nchini Kenya pamoja na maeneo yote ya nchi za Afrika Mashariki kutokana na uwezo wake katika kuigiza ambapo alikuwa akiwavunja mbavu watazamaji wake kutokana na vituko vyake na uwezo wake katika kuchekesha watazamaji wakati akiigiza, Mungu iweke mahali pema peponi roho ya Mwigizaji  Marehemu Benson Wanjau alias Mzee Ojwang kwa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top