Hatari kwa CCM! Wakongwe wa CCM kuhama chama na kujiunga na Upinzani....

Tetesi za wakongwe wa CCM kuhama chama na kujiunga na UPINZANI zaanza kunukia!

Mafuriko ya Lowassa hayazuiliki.
Sumaye na Bilali wanategemewa kufanya maamuzi magumu wakati ukifika.

Tusubiri tuone!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top