Majambazi wenye silaha wamevamia daladala inayofanya safari zake Ubungo-Kariakoo

Majambazi wamevamia daladala Ubungo Kariakoo maeneo ya Jangwani, mtu mmoja (abiria) aliyekuwa amebeba mfuko amepigwa risasi, watu kadhaa wamejeruhiwa. Majambazi haya yalikuwa na Pikipiki aina ya Boxer , kabla ya kupiga risasi walitaka abiria atoe hilo fuko la fedha yeye akagoma akiaangalia kama atapata msaada kutoka kwa abiria ndipo walimwambia dereva kusimama na kutwanga risasi huyo abiria akaachia fuko linalosemekana kuna fedha, haijajulikana ni fedha au ni dhahabu/Tanzanite maana abiria alikuwa awezi tena kuongea.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top