Breaking News: Vifo vyatokea tena Mecca.. watu zaidi ya 300 wapoteza maisha

Watu 310 waliokuwa wakishiriki sherehe za hija wamefariki kwenye mkanyagano uliotokea katika mji mtakatifu wa Kiislamu wa Mecca na majeruhi zaidi ya 450 katika kisa hicho kilichotokea mji wa Mina, takriban kilomita tano kutoka mji wa Mecca, maafisa nchini Saudi Arabia wamesema.
Mkanyagano huo umetokea siku ya kwanza ya sherehe za Eid al-Adha.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top