Dr. Magufuli aahirisha kampeni zake mkoani Shinyanga leo

Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.John Magufuli ameahirisha mikutano yake ya kampeni aliyokuwa aifanye leo Mkoani Shinyanga ili kuwaruhusu wananchi kushiriki viuri katika sikukuu ya Eid El Hajj.....
Pia anawatakia watanzania sikukuu njema na yenye Baraka mbele za Mwenyezi Mungu na tuendelee kuidumisha Amani ya Nchi iliyopo.
inshaallah

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top