Jamaa atiwa mbaroni kwa kupigisha kura Wananchi bila kufuata kanuni, taratibu na sheria za nchi..

Jamaa mmoja huko Kariakoo anaripotiwa kukamatwa na Polisi kwa kuendesha zoezi lisilo rasmi wala lisilofuata kanuni, sheria na taratibu za nchi, kwa kupiga kura za 'chap chap' ili alinganishe matokeo na yale yaliyotolewa na Twaweza hivi juzi na kuzua gumzo miongoni mwa wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini Tanzania.





Taarifa hii siyo rasmi, Nimeipata tu kwenye Mitandao ya kijamii nikaona nikujuze na wewe mtu wangu....................

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top