Mgombea ubunge jimbo la kahama anusurika kifo baada ya kupata ajali

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna aliyeumia.
Endelea kuwa na Paparaziwetu.blogspot.com kwa taarifa zaidi juu ya tukio hii na kwa habari nyingine kem kem masaa 24 kila siku.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top