Picha za matukio ya mkutano wa Lowassa jijini Mwanza

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.tayari kwa Mkutano wa Kampeni.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, jana Oktoba 12, 2015.
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akiwasalimia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015. 
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni,jana Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akikumbatiana na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.
Wananchi wa Jiji la Mwanza wakiitikia salam ya "Mabadilikoooo" katika Mkutano wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.
Meneja wa Kampeni za Chadema, John Mrema akiongoza Mkutano huo jana.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji, akiwasalimia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akisalimia na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya Chadema, Hainesy Kiria akihutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, jana Oktoba 12, 2015.
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi, James Mbatia akiwahutubia wananchi huku akiitumia rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza jana Oktoba 12, 2015.




















Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top