Rais Kikwete azindua mradi wa Umeme wa Gesi asilia Kinyerezi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400.Kushoto ni mwakilishi wa benki ya African Development Bank(ADB) Bi Tonia Kandiero na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO Bwana Felchesmi Mramba.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa kufua umeme kutokana na gesi asilia muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam leo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top