Muonekano wa nyonga bandia
Sifa kubwa ya mwanamke wa kiafrika na yakuvutia ni makalio yake(Matako). Wanaume wengi pia wa kiafrika wanavutiwa na mwanamke mwenye makalio makubwa na yaliyo umbika vizuri.Muonekano wa mwanamke aliyevaa nyonga bandia
Kutokana na wanawake wengi kutambua hili imekuwa ni desturi kwa wanawake wengi wa kiafrika hasa wale masuper ster kununua makalio na nyonga bandia kwa lengo la kuwavutia wanaume.Bidhaa hii ya bandia ambayo chanzo chake kikuu ni Africa kusin, Botswana,Dubai na China imeenea maeneo mbalimbali nchini lakin zaidi ikiwa Bulawayo-Zimbabwe.
Wanawake wengi wa Bulawayo hawakujaliwa kuwa na matako hivyo ilikuwavutia wanaume imewapasa kununua vito hivi vya bandia ili kuwasaidia katika tatizo lao.
Mfanya biashara mmoja wa vito hivi alipoongea na paparaziwetu alimwambia kuwa wanawake wengia ununua nyonga hizi za bandia na imekuwa ikimlipa mno kiasi cha yeye kwenda mara kadhaa nje kufuata bidhaa hii kwa mwezi.
Lakini tukio hili limekuwa likiwakera wanaume wengi kiasi cha kufikia kuwapiga wapenzi wao na hata kuwachukia kabisa kwa kuwalaghai kuwa na umbo zuri kumbe ni uzushi tu wamachoni.
Post a Comment