Leo Mbunge wa Monduli Edward Lowassa atatangaza nia ya kugombea Urais katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.Maandalizi mbalimbali yanaendelea huku ilinzi ukiimarishwa kila kona.
Mamia ya wananchi wanaendelea kuingia katika uwanja huu kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania ikiwe Dares salaam,Arusha,Dodoma,Kagera,Mwanza na Mbeya
Mamia ya wananchi wanaendelea kuingia katika uwanja huu kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania ikiwe Dares salaam,Arusha,Dodoma,Kagera,Mwanza na Mbeya
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jijini katika maandalizi ya Mkutano wa Edward Lowassa.
Kila mtu katika uwanja pamoja na Watanzania wana shauku ya kutaka kufahamu Edward Lowassa atasema nini kuelekea katika uchaguzi wa Rais utakaofanyika wiki ya mwisho ya mwezi oktoba mwaka huu 2015.
Baadhi ya wananchi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Akina mama wa Kimasai katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Post a Comment