Angalia picha za kibaka ashushiwa kipigo kikali kwa tuhuma za wizi......

 Kijana Mmoja aliyetuhumiwa kuwa Kibaka  kashushiwa Kipigo na wanaodhaniwa kuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Mjini Morogoro ..Wanafunzi  wa Chuo Kukuu Mzumbe  walimkamata Kijana Mmoja   anayesadikiwa kuwa kibaka kwenye moja ya Mabweni yao akijaribu kuiba vitu mbali mbali na Ndipo walipomshushia kichapo hadi kinachodaiwa kupoteza maisha

Tukio hilo lilitokea saa nane usiku ambapo kibaka huyo anayeisha nje ya Chuo hicho alikamatwa na mmoja wa wanafunzi  ndani ya Bweni akiwa na lundo la Nguo na viatu.Shuhuda wa alisema Kwa muda mrefu wanafunzi hao walilalamika kuibiwa vitu vyao na watu wasiowafahamu. 
Kibaka huyo aligoma kutua mizigo hiyo jambo linalodiwa kuzidisha hasira kwa Wanafunzi hao na kuzidisha  kumshambulia.

Baada ya kukithiri kwa vitendo hivyo Chuoni hapo Wanafunzi  waliamua kuongeza umakini wa kubaini mwizi  wao ambapo  mmoja wa wanafunzi ambaye alikuwa akijisome alisikia kishindo cha mtu kwenye Korido la Bweni lake ambapo baada ya kuchungulia alimshuhudia kibaka huyo akitoka na  vitu mbali mbali ndipo alipoamua kupiga mayowe ya Mwizi yaliowaamusha wenzake ambao walimzingira kibaka huyo na kumkamata akiwa na kithibiti mkonono 
" Madent hao waliokuwa na hasira walidaiwa walimpiga mwizi huyo ambaye kwa mashangao wa wengi kilicha ya kichapo hicho aligoma kuachia mazigo hiyo jambo lililozidisha hasira kwa madent hao na kuamu kuongeza kasi ya kumpiga na kudiwaiwa kumuua"alisema Shuhuda huyo

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top