Star wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa machozi yake huwa yapo karibu hivyo ukimuudhi kidogo tu lazima alie,
Akipiga stori mbili-tatu Kajala alisema: “Machozi yangu yapo karibu sana sijui kwa nini huwa nashindwa sana kujizuia yaani mtu akinikorofisha kidogo tu lazima nitoe machozi ndipo hasira zitulie.
Post a Comment