Mamia ya watu wajitokeza kwenye usahili wa Radio 93.7.....Angalia picha hapa

Baadhi ya washiriki katika usahili wa watangazaji na ma-DJ wakiwa nje ya jengo la K-NET kawe jijini Daresalaam
Mmoja kati ya Ma-DJ washiriki akiwa katika usahili ndani ya studio za 93.7 fm Kawe, Daresalaam
Mshiriki katika usahili wa Watangazaji akifanya vitu vyake wakati wa usahili.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top