Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, kupitia Ray C Foundation ameanza kuandaa kipindi chake cha TV ‘Pamoja Inawezekana” ili kuendelea na jitiada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya.
Ray C kupitia instagram yake amesema:"Preparing my TV programme Pamoja Inawezekana,Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamoja inawezekana,stay tuned people more to come.
"Kipindi maalum cha ‘Pamoja Inawezekana’ kitakujia hivi karibuni,makubwa mengi yatakuja kupitia Taasisi yetu,kwa walio mikoani tupigie 0658009715 au barua pepe raycfoundation2014@gmail.com,itakuwa na mambo mbalimbali yanayohusu matatizo au athari za madawa ya kulevya,tutawatangazia hivi karibuni.Ewe ndugu jamaa rafiki anaesumbuliwa na madawa ya kulevya usisite kuwasiliana na sisi tutakusaidia kwa hali na mali” Alisema Ray CRay C kupitia instagram yake amesema:"Preparing my TV programme Pamoja Inawezekana,Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamoja inawezekana,stay tuned people more to come.
Post a Comment