Wema Sepetu apokea tuzo baada ya kuibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls......

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Elizabeth Michael ‘Lulu’, Nelly Kamwelu, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo Jana usiku ndani ya Dar Live,
 
picha hii inamuonesha Wema akiwa ameshika tuzo yake ya ushindi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top