Mwanafunzi wa chuo cha RUCO achomwa moto wakidhani kuwa ni mwizi...

Imagine guys, kijana mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.Taarifa za awali zinasema aliitiwa mwizi kumbe sio, akachomwa moto kama ujuavyo sheria mkononi kwa nchi hii..

Ameungua sana ila kwa bahati nzuri hajafariki, hivi ndivyo alivyo....

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top