Angalia picha za mwanamuziki anayeongoza kwa kutupia pamba za ukweli, Jux.....

 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.

Hizi ni baadhi tu ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.










Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top