Abiria zaidi ya 50 baada ya kivuko cha Ifakara kukwama

Zaidi ya watu 50 wamenusurika kufa baada ya Kivuko cha Kilombero 2 kuzimika na kuanza kusombwa na maji ya Mto Kilombero leo alasiri.

Kivuko hicho bacho kilisheheni pia pikipiki na baiskeli kilikuwa pia na malori yenye mzigo mawili na kilikuwa kikitolea upande wa wilaya ya ulanga kuja wilaya ya Kilombero.
Hadi saa 11.30, kivuko hicho kilikuwa hakijawashwa na mafundi walikuwa wakiendelea na matengenezo. Abiria waliokuwa katika kivuko hicho waliondolewa kwa kutumia maboti na mitumbwi.

Zaidi ya magari 25 yakiwemo mabasi ya abiria yamekwama kwa upa de wa Ifakara(kilombero).

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top