Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi.
Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao
Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri
Basi la Amani likiwa limepinduka
Post a Comment