BREAKING NEWZ: Basi la SB Lapata ajali na kujeruhi watu wengi,21 wakiwa na hali mbaya

Watu 42 wamejeruhiwa,21 kati yao wakiwa na hali mbaya,baada ya basi la kampuni ya SB lililokuwa linatokea Mtwara kwenda Dar es salaam kupata ajali eneo la Mchinga-Lindi.
Basi la SB lilolotoka Nachingwea leo lapata ajali Mchinga wengi wajeruhiwa,

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top