Tukio hili la kusikitisha limetokea jana Isashi, Lagos ambapo maiti ya mtoto mchanga ilikutwa katika shimo la maji machafu, mwili wa mtoto huyo ambao ulionyesha alitupwa na mama yake baada tu kuzaliwa ulikuwa umevimba na kujaa maji.
Baadhi ya kina mama wa eneo ambapo tukio hili limetokea walisikika wakisema kwa uchungu kuwa,kuna baadhi ya wanawake hawastaili kuitwa mama katika dunia hii, Ingawaje wanauwezo wa kupata mimba na kuitunza kwa miezi tisa.
Polisi wanaendelea na uchunguzi katika eneo hilo kwa kuna tetesi kuwa kulikuwa na michirizi ya damu kutoka moja ya nyumba za jirani na shimo hilo, ila walipoulizwa walikanusha kufanya tukio hilo.
Polisi wanaendelea na uchunguzi katika eneo hilo kwa kuna tetesi kuwa kulikuwa na michirizi ya damu kutoka moja ya nyumba za jirani na shimo hilo, ila walipoulizwa walikanusha kufanya tukio hilo.
Post a Comment