Goli la kichwa lililoisababishia ushindi timu yake ya Uholanzi limewekwa kwenye sarafu iliyouzwa ndani ya saa moja baada ya kuwekwa sokoni.
Van Persie alifunga goli hilo wakati timu yake ilipokutana na Hispania katika mechi zinazoendelea za kombe la dunia na kuzua gumzo kubwa ambapo mashabiki walikuwa wakifanya vitendo mbalimbali kuenzi goli hilo lililoipa ushindi na umaarufu mkubwa Uholanzi katika msimu huu wa kombe la Dunia ambapo ilishinda 5-0.

Unaweza kuona kitu cha ajabu lakini ndio hivyo wenzetu wanafanya hivyo ambapo kampuni iliyopewa mamlaka ya kutengeneza sarafu ilichukua picha ya kitendo kilichofanywa na nyota huyo wa timu ya Manchester United Van Persie wakati wa mechi ya ufunguzi wa makundi mwezi uliopita.
Post a Comment