Diamond Platnumz amzawadia mama yake gari kaika sherehe yake ya kuzaliwa...

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'.

Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.

Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi.

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top