Moto mkubwa wateketeza Vibanda vya Soko, Nyuma ya Stendi ya dala dala mkoani Dodoma....

 Moto huo mkubwa uliteketeza mali nyingi sana za dhamani wafanya biashara wa maeneo hayo ulidumu takribani masaa 3 ambapo jeshi la zimamoto pamoja na wananchi walifanya jitahada za kuudhibiti moto huo ili usiweze kuendele, huku jeshi la polisi likiimarisha ulinzi wa kutosha kutokana na vibaka kuvamia eneo hilo.

Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo hilo walidai chanzo cha moto huo kilionekana kutokea kwenye nguzo ya umeme iliyokuwa maeneo hayo ambapo inasemekana ndio sababu kubwa ya moto huo.







Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top