Amuua mama yake kisa chakula

Kijana mmoja nchini kenya ameshtakiwa kwakosa la kumuua mama ake mzazi bila sababu liyokua ya msingi, hii ni kutokana na kwamba, walishindwa kuelewana katika swala la chakula, ilo mpelekea kijana uyo kumuua mama yake mzazi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top